HABARI KUBWA

WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WAANDISHI WA HABARI NCHINI



_▪️Awataka watumie akili mnemba kama nyenzo na si kikwazo cha uhuru wao_▪️

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Waandishi wa Habari nchini kutumia Akili Mnemba (Artificial Inteligence) kama nyenzo ya kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na sio kikwazo cha uhuru wao.

Amesema kuwa katika dunia ya sasa, vyombo vya habari vinakutana na changamoto mpya zinazotokana na maendeleo ya teknolojia, ambapo akili mnemba inachukua nafasi kubwa katika uzalishaji na usambazaji wa habari.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne, Aprili 29, 2025) katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo kitaifa inafanyika Jijini Arusha kwenye Hoteli ya Gran Melia.

Waziri Mkuu amesema Serikali inaendelea kuandaa sera maalum ya Akili Mnemba, ambayo itatoa.

Tangaza hapa-3
Email
Twitter
META
WhatsApp

WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WAANDISHI WA HABARI NCHINI

_▪️Awataka watumie akili mnemba kama nyenzo na si kikwazo cha uhuru wao_▪️ WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Waandishi wa Habari nchini kutumia Akili Mnemba (Artificial Inteligence) kama nyenzo ya kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na sio kikwazo cha uhuru wao. Amesema kuwa katika dunia ya sasa, vyombo vya

WAZIRI MKUU: TUNATAKA KILA MWANANCHI APATE KITAMBULISHO CHA TAIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Serikali ni kumwezesha kila Mtanzania apate kitambulisho cha Taifa akiwa kijijini kwake. Amesema hayo leo (Alhamisi, Mei 11, 2023) bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu.  Mbunge

KITAIFA

AMREF KUREKEBISHA KANUNI ZA AFYA ZA KIMATAIFA

Na Madina Mohammed WAMACHINGA DAR ES SALAAM Mkutano wa Afya Duniani (WHA77),ulioandaliwa na Amref Health Africa kwa ushirikiano na Afrika CDC, Ofisi ya Kanda ya Afrika ya Shirika la Afya Duniani na Bill na Melinda Gates

UCHAMBUZI

UKIMYA WA WATU WEMA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aliyekuwa Rais wa Uganda marehemu Idi Amin alitaka kubadilisha jina la Uganda kuwa IDI. Kila mtu katika baraza la mawaziri alikubali. Sababu ni kuwa ‘Walimwogopa’. *Lakini kulikuwa na mtu mmoja, Malyamungu.* Akamwambia