HABARI KUBWA

WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WAANDISHI WA HABARI NCHINI



_▪️Awataka watumie akili mnemba kama nyenzo na si kikwazo cha uhuru wao_▪️

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Waandishi wa Habari nchini kutumia Akili Mnemba (Artificial Inteligence) kama nyenzo ya kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na sio kikwazo cha uhuru wao.

Amesema kuwa katika dunia ya sasa, vyombo vya habari vinakutana na changamoto mpya zinazotokana na maendeleo ya teknolojia, ambapo akili mnemba inachukua nafasi kubwa katika uzalishaji na usambazaji wa habari.

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne, Aprili 29, 2025) katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo kitaifa inafanyika Jijini Arusha kwenye Hoteli ya Gran Melia.

Waziri Mkuu amesema Serikali inaendelea kuandaa sera maalum ya Akili Mnemba, ambayo itatoa.

Tangaza hapa-3
Email
Twitter
META
WhatsApp

WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA WAANDISHI WA HABARI NCHINI

_▪️Awataka watumie akili mnemba kama nyenzo na si kikwazo cha uhuru wao_▪️ WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Waandishi wa Habari nchini kutumia Akili Mnemba (Artificial Inteligence) kama nyenzo ya kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na sio kikwazo cha uhuru wao. Amesema kuwa katika dunia ya sasa, vyombo vya

WAZIRI MKUU: TUNATAKA KILA MWANANCHI APATE KITAMBULISHO CHA TAIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Serikali ni kumwezesha kila Mtanzania apate kitambulisho cha Taifa akiwa kijijini kwake. Amesema hayo leo (Alhamisi, Mei 11, 2023) bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu.  Mbunge

YST YAPOKEA MAOMBI 1516 YA WANASAYANSI CHIPUKIZI

Na Penina Malundo SHIRIKISHO la Wanasayansi Chipukizi (YST),limepokea idadi kubwa ya maombi ya kazi za kisayansi kutoka kwa wanafunzi  kushiriki mashindano ya sayansi yanayofikia 1,516 kwa mwaka 2025 ukilinganisha na mwaka uliopita mapmbi 1055. Aliyasema hayo jana

Soma Zaidi
KITAIFA

ACT WAZALENDO WANENA,GUMZO KITENGO CHA MAAFA.RUFIJI

Na mwandishi wetu IMEBAINISHWA kuwa kuwepo kwa matukio ya majanga kwa miaka mingi ya hivi karibuni imeonesha uwezo mdogo wa kukabiliana na majanga pamoja na kuchukua tahadhari za majanga mbalimbali ikiwemo ajali na moto kutoka kitengo

MICHEZO

SIMBA WAKIFUNGWA WAFURAHIE TU: MANARA

NA Anton Kiteteri Awambia wanayanga waje waone mpira wa hesabu. Dar es Salam KATIKA kuelekea mchezo wa leo wa Ngao ya Jamii kati ya watani wa jadi Simba na Yanga,msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara

KITAIFA

RAIS SAMIA APONGEZWA MAGEUZI MAKUBWA SEKTA YA AFYA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali Yawapongeza Wanaradiografia kwa Mchango wao kwa Jamii Uwekezaji katika Sekta ya Afya Waokoa Fedha Tanzania Nchi ya Nne Afrika kuwa na PET SCAN Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.