17 views 27 secs 0 comments

HABARI PICHA: WAZIRI MASAUNI AUNGANA NA WAZIRI MKUU MAJALIWA KATIKA MAONESHO YA DUNIA YA EXPO

In KITAIFA
May 25, 2025


Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Rais Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Masauni ameungana na ujumbe wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa uliopo nchini Japan Kushiriki maonesho ya *Dunia ya EXPO 2025 Osaka Japan*
ambapo leo Mei 25,2025 ni *Siku ya Taifa la Tanzania(Tanzania National Day)

/ Published posts: 2108

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram