

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA
Waziri wa nchi ofisi ya Rais-Tamisemi Mhe Mohammed Mchengerwa aelekeza wamachinga wapewe kipaumbele kwenye masoko yote ya kimkakati yanayojengwa nchini
Ameyasema hayo wakati wa kongamano la wamachinga Waziri wa nchi ofisi ya Rais-Tamisemi Mhe Mohammed Mchengerwa Amesema kuwa
“nyinyi wamachinga munataka kufikiliwa Katika eneo la jangwani ambalo tunakwenda kujenga mji wa kisasa kabisa pale jangwani,pamoja na ujenzi huo,na uwanjwa wa kisasa ambao unakwenda kujengwa hapo”

Aidha Mchengerwa ametoa maelekezo kuwa majengo ya maduka ya wamachinga watatumia basi hakikisheni michoro yote ambayo mutakwenda kuiandaa hakikisheni wamachinga mumewafikilia Katika michoro hiyo na wao lazima washiriki Katika ujenzi wa uchumi pale jangwani
Aidha Mchengerwa pia ametoa maelekezo Kwa katibu mkuu kuwa masoko yote ya kimkakati yanayojengwa nchini waelekeze wakurugenzi wote wa halmashauri na kuhakikisha kwamba wamachinga kote nchini wanapewa kipaumbele kufikiliwa Katika maeneo ambako tutakwenda kujenga masoko ya kimkakati kabisa

Hata Hivyo Mchengerwa Amewata katibu mkuu na mkuu wa mkoa waende wakakae muone mambo mawili kwanza kufikilia uwezekano wa wamachinga kuwafikilia Katika maeneo hayo Kwa namna mutakavyokubaliana nao
Na Jambo la pili ni Tumeona maombi hapa ya mwenyekiti wa wafanyabiashara “embu kaeni mujifikilie Kupitia soko letu la Kariakoo angalieni uwezekano Kwa mwenyekiti wa wafanyabiashara na timu yake na wao wapate ofisi pale kwenye soko la kisasa la kimataifa la Kariakoo”

*Maelekezo yangu Kwa wakurugenzi wote nchini kutoa kipaumbele Kwa makundi haya nilishayatamka na kuhakikisha kwamba nyakati zote wanawafikilia, wanawasaidia na kuwapa kipaumbele Katika mikopo ya asilimia 10,wanatoa kipaumbele Katika kuhakikisha kwamba wanawasaidia hayo ndo maelekezo ya Dkt RAIS SAMIA amekuwa akiyatoa.kila siku