AISHI MANULA KUJIUNGA AZAM FC
Na Mohamed Akida ALIYEKUWA kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula inaarifiwa yupo katika hatua za mwisho kujiunga na waajiri wake wa zamani Azam FC kwa ajili ya kuitumiki a msimu ujao. Kipa huyo aliyekosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha Simba mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu huu na hakuna maongezi ya mkataba mpya. […]