MFUMO MPYA WA KIDIGITALI WA KITAMBULISHO KUANZA RASMI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MWENYEKITI wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari ,Tido Mhando ametangaza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa kidijitali wa kupata Ithibati ya Kitambulingo Cha Uandishi wa Habari (Press Card ) kupitia. Mfumo wa https://www.taihabari.jab.go.tzHayo yamebainishwa Leo Mei 19,2025 Jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti huyo amefafanua kwa kusema kuwa waandishi wanatakiwa […]