KITAIFA
May 19, 2025
15 views 37 secs 0

RAIS DKT. SAMIA KUFUNGUA DARAJA LA JP MAGUFULI (KIGONGO – BUSISI) JUNI 19, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa kilometa 3 na barabara zake unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66 utakaofanyika tarehe 19 Juni, mwaka huu. Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa […]