PPP CENTER NA REDET WASHIRIKIANA KATIKA KONGAMANO LA SEKTA BINAFSI NA SEKTA YA UMMA KUJADILI DIRA YA TAIFA
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA KITUO cha Ubia kati Sekta Binafsi na Sekta ya Umma (PPPC)kwa kushirikiana na Taasisi ya utafiti wa masuala Demokrasia (REDET) chini ya Chuo Kikuu Cha Dar es salaam wameandaa kongamano kwa ajili ya kujadili nafasi ya sekta binafsi na sekta ya umma kuelekea dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 . Kongamano […]