BIASHARA
May 19, 2025
42 views 2 mins 0

ESSA NA TPDC YASAINI MAKUBALIANO YA USAMBAZAJI WA GESI ASILIA NA KUAZISHA KIWANDA CHA UZALISHAJI MTWARA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kampuni ya Essa kutoka Indonesia na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) leo wamesaini makubaliano ya awali ya usambazaji wa gesi asilia kwa ajili ya kuanzisha kiwanda cha uzalishaji wa mbolea mkoani Mtwara. Kiwanda hicho kinatarajiwa kutumia gesi asilia kama malighafi kuu katika uzalishaji. Akizungumza katika hafla ya utiaji saini […]