FAHAMU UGONJWA WA HOMA YA INI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA UGONJWA WA HOMA YA INI HOMA YA INI ni UGONJWA unaoambukizwa kwa njia ya VIRUSI ambavyo vikishaingia MWILINI hushambulia INI kabla ya kugeuka kuwa MARADHI SUGU.VIRUSI ivyo vinaitwa HBV – HEPATITIS B VIRUSES. VIRUSI hivi husambazwa kwa njia ya DAMU au MAJIMAJI mengine ya MWILINI mfano MATE au JASHO. UGONJWA huu […]