MICHEZO
May 28, 2025
80 views 18 secs 0

YANGA YAKAMILISHA MIPANGO KUMSAJILI  FEI  TOTO

Na MOHAMED AKIDA KLABU ya Yanga inaarifiwa kukamilisha mpango  wa kumsajili kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ili kui                            tumikia timu hiyo msimu ujao. Akizungumza na Mfanyakazi Tanzania, Menja Habari wa timu hiyo, Ally Kamwe amesema kuwa  kuna wachezaji  wengi wamepanga kuwasajili kenyeirisha kubwa lengo ni kuboresha jeshi lao la msimu ujao. “Feisal […]