FMF YAWATAKA WAANDISHI WA HABARI KUWA NGUZO YA KUTOA ELIMU KWA JAMII KUHUSU MATENDO YA KIKATILI WA KIJINSIA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Taasisi ya Flaviana matata Kwa kushirikiana na kufadhiliwa chini ya Shirika la WFT ambao ni wadau wakubwa wa kuhakikisha wanalenga jamii na Lengo kubwa ni kuweza kuwawezesha waandishi wa habari kuwaongezea ujuzi kuhusiana na mada ambazo zinawafanya wanapofanya kazi iwe rahisi kupata taarifa ambazo ni sahihi Ili zisiweze kupotosha jamii Taasisi […]