KITAIFA
May 31, 2025
38 views 8 secs 0

ILANI YA CCM MSINGI WA FIKRA MPYA KWENYE UCHUMI WA TANZANIA – DKT. KAHYOZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Mei 30, 2025, amezindua Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa mwaka 2025/2030, jijini Dodoma, katika Mkutano Mkuu Maalum wa chama. Ilani hiyo mpya inalenga kuboresha maisha ya wananchi kwa vipaumbele tisa ikiwemo uchumi, sayansi na teknolojia, miundombinu, na […]