BIASHARA
May 21, 2025
16 views 3 mins 0

JWK IMEISHAURI SERIKALI KUCHUKUA HATUA YA DHARURA KUMALIZA CHANGAMOTO ZA WAFANYABIASHARA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo (JWK) imeishauri serikali kuchukua hatua ya dharura ili kumaliza changamoto ya wafanyabiashara wazawa na raia wakigeni wa Kariakoo. Mwenyekiti wa JWK, Severini Mushi alisema hayo jana Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari. Alisema hadi sasa wamebaini kuna changamoto za sheria za […]