KHAMIS MBETO KHAMIS: MLINZI WA FIKRA, NGOME YA UENEZI NA KIELELEZO CHA UZALENDO NDANI YA CCM ZANZIBAR
*Kama ilivyo kawaida ya historia, kila zama huja na mashujaa wake. Wako waliobeba silaha, lakini pia wako waliobeba fikra. Katika sura ya siasa ya Zanzibar ya sasa – sura ya utulivu, maendeleo na maono mapana ya kitaifa – anasimama imara Khamis Mbeto Khamis, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Zanzibar, akiwa mstari wa […]