TANZANIA KUANZISHA MPANGO WA KITAIFA WA COLD CHAIN: VANGUARD GLOBAL DEVELOPMENT KUANDAA MKUTANO WA WADAU
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dar es Salaam Katika harakati za kuboresha sekta ya kilimo na kuongeza ushindani wa Tanzania katika masoko ya kimataifa, taasisi ya Vanguard Global Development imeandaa mkutano muhimu wa wadau utakaoangazia uwasilishaji wa Mpango wa Kitaifa wa Miundombinu ya Cold Chain. Mkutano huu utafanyika siku ya Jumatatu, tarehe 2 Juni 2025, katika […]