BIASHARA
May 29, 2025
31 views 5 mins 0

BALOZI WA SWEDEN MHE.CHARLOTTA MACIAS:TUTAENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUWEKA MIFUMO IMARA YA KIDIGITALI YA UJASIRIAMALI

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Amesema kuwa tutaendelea kushirikiana na Tanzania katika kuongeza umuhimu wa matumizi ya mifumo ya biashara ya kidijitali kwa vijana wajasiriamali ili kuboresha huduma za umma na ujasiriamali Kupitia kilimo Cha mwani Ameyasema hayo Leo 29 Mei 2025 Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlotta […]