JAFO: SERIKALI IMEWEKA MAZINGIRA MAZURI UWEKEZAJI AFYA YA KINYWA NA MENO HAPA NCHINI
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo amesema kuwa Serikali imeweka mazingira mazuri ya uwekezaji hususan kwenye ujenzi wa viwanda vya kutengeneza vifaa tiba, ikiwemo vinavyotumika katika kutoa huduma ya afya ya kinywa na meno hapa nchini. Akizungumza kwa niaba ya Waziri Jafo katika ufunguzi wa maonesho ya Afya ya Kinywa […]