MAAJABU YA KUTEMBEA PEKUPEKU NA KUSHIKA VITU VIGUMU KATIKA KUTIBU SARATANI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Utangulizi Saratani ni moja ya magonjwa yanayosababisha vifo vingi duniani, na tafiti zinadhihirisha kuwa kuna njia mbalimbali za kuimarisha afya na kupunguza hatari ya magonjwa haya. Moja ya mbinu ya asili inayozidi kupata umaarufu ni kutembea pekupeku kwenye ardhi ngumu pamoja na kushika vitu vigumu kama mpini wa jembe. Katika makala […]