DKT. BITEKO AWATAKA WAZAZI KUVUMILIANA KUTUNZA FAMILIA ZAO
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 Asisitiza wazazi kutenga muda wa kuwa na watoto wao 📌 Asema familia imara ni msingi wa dunia imara 📌 Mashirika, Wadau wa Maendeleo waipongeza Serikali kuimarisha malezi ya watoto 📌 Zaidi ya kaya 15,000 zapata elimu ya malezi jumuishi na huduma za afya ngazi ya jamii Naibu Waziri Mkuu na […]