MAJALIWA: WATANZANIA TUENDELEE KUMTUNZA MDUDU NYUKI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _▪️Asema lengo ni kuwa na Taifa lenye uhakika wa chakula na uchumi imara__▪️Azindua mpango wa kuendeleza sekta ya ufugaji nyuki kwa Tanzania iliyo bora_ WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuendelea kumtunza na kumuhifadhi nyuki ili kuwa na Taifa lenye uhakika wa chakula na uchumi ulio imara kwa kuwa takribani asilimia 80 […]