KITAIFA
May 20, 2025
13 views 2 mins 0

RC CHALAMILA AZINDUA MAGARI MAPYA MAWILI (2) -DSM

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila amezindua na kukabidhi magari mapya mawili kwa ajili ya katibu Tawala wa Mkoa huo na Mkuu wa wilaya ya Ilala ambapo amewataka kutumia magari hayo katika kutoa huduma kwa wananchi ili kutatua changamoto zao huku akisisitiza suala la kuhamasisha wananchi kuendelea […]