‘MSIWAFICHE WATOTO WENYE UTINDIO WA UBONGO’
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam JAMII imetakiwa kutokuwaficha watoto wenye utindio wa ubongo kwani ni watoto kama walivyo wengine. Wito huo umetolewa na Doreen Fitzpatrick ambaye ni Mtanzania anayeishi Marekani na Mkurugenzi wa Sassyfly Luxury Event wakati akitoa msaada katika Kituo cha kulelea watoto wenye Utindio wa Ubongo cha Dorcas Homecare Initiative kilichopo Madale, jijini […]