SOKO LA KISASA LA NYAMA CHOMA LAZINDULIWA VINGUNGUTI
Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe.Mohamed Mchengerwa amezindua soko la kisasa la nyama choma la Kumbilamoto vingunguti, Ilala jijini Dar es Salaam na kushuhudia utiaji wa mikataba ya miradi 6 ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 7.7 Mara baada ya kuzindua soko hilo ambalo limegharimu takribani shilingi milioni 727 amepongeza […]