RC SERUKAMBA AITAKA TRA KUDHIBITI RISITI FEKI, KUHAMASISHA ELIMU YA KODI
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe.Peter Serukamba, ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani humo kuhakikisha wanadhibiti utoaji wa risiti feki kwa bidhaa mbalimbali, akisisitiza umuhimu wa matumizi sahihi ya mashine za kielektroniki za kutoa risiti (EFD) ili kuongeza mapato ya serikali.Akizungumza leo Mei 19, 2025 ofisini kwake baada ya kupokea ugeni wa Viongozi kutoka […]