REB YARIDHISHWA MATUMIZI YA NISHATI SAFI GEREZA LA BUTIMBA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Wapongeza mifumo ya nishati safi ya kupikia ๐REA yapongezwa kwa kuhamashisha matumizi ya nishati safi Wajumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) wamefanya ziara ya kutembelea Gereza Kuu la Butimba lililopo jijini Mwanza kwa lengo la kukagua utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa mifumo ya nishati safi ya kupikia katika taasisi […]