RAIS MWINYI AWAAHIDI KLABU YA SIMBA DOLA LAKI 1 ZA KIMAREKANI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuizawadia Klabu ya Simba kiasi cha Dola Laki Moja za Kimarekani endapo itafanikiwa kutwaa Ubingwa wa Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Dkt. Mwinyi ametoa ahadi hiyo alipokutana na kuzungumza na Viongozi pamoja na Wachezaji […]