SAMAMBA AWATAKA TAMISA KUNOA MAKUCHA YAKE ILI KUDHIBITI WANACHAMA WAKE WASIO WAAMINIFU KATIKA UTOAJI HUDUMA
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA KATIBU Mkuu Wizara ya Madini Eng. Yahya Samamba amesema kutokana na utulivu uliopo katika sekta ya madini , amekishauri Chama Chama cha Watoa Huduma Migodini (TAMISA), kunoa makucha yakeย ili kidhibitiย wanachama wake wasio waaminifu katika utoaji huduma. Ameyasema hayo Leo 16 Mei 2025 Katibu Mkuu wizara ya […]