WANAJAMII TUJIPANGE KUEPUSHA MIGOGORO – DKT. BITEKO
📌 Dkt. Biteko azindua kitabu cha miaka 35 ya TAWLA 📌 Rais Samia aipongeza TAWLA kushiriki kampeni za kisheria 📌 TAWLA yaipongeza Serikali miradi ya kimkakati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wanajamii kujiepusha na mazingira yanayoweza kusababisha migogoro baada ya wao kufariki Dkt. Biteko amesema hayo Mei 23, […]