MUSICHOCHEE VURUGU TANZANIA YETU NI YA AMANI-AHMED KOMBO
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Baadhi ya Wanaharakati nchini Tanzania wametoa rai kwa vijana wa kenya ambao wanaendelea kumkebehi na kumtukana Rais DKt Samia suluhu Hassani na kuchochea vurugu na Vitendo vya uchochezi nchini. Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na Mwanaharakati Ahmedi kombo mara baada ya kuzungumza na Wanahabari ambapo ametoa rai kwa baadhi ya […]