MAKATIBU TAWALA WASAIDIZI WAPEWA SOMO USIMAMIZI WA MIRADI NA USULUHISHI WA AKAUNTI
Angela Msimbira, PWANI Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Sospeter Mtwale, amewataka Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa kuhakikisha wanazisimamia Halmashauri zote kufanya usuluhishi wa akaunti za kibenki, hususani tunapoelekea mwishoni mwa mwaka wa fedha wa Serikali. Akizungumza leo Mei 19, 2025 katika ufunguzi wa Mafunzo ya […]