BANDARI NI CHANZO KUNGINE CHA BIASHARA YA KABONI
Na Mwandishi Wetu NORWAY IMEELEZWA kuwa Bandari ni chanzo kingine Cha biashara ya kaboni ambapo Ingvar M. Mathisen, Mkurugenzi mkuu wa Bandari ya Oslo, Norway ameyasema haya kwa ujumbe wa Tanzania uliotembelea bandari Nchini humo hivi karibuni. Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mha. […]