KITAIFA
May 29, 2025
24 views 2 mins 0

SERIKALI IMEJIPANGA KUDHIBITI MATUMIZI YASIYO SAHIHI YA MITANDAO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA SERIKALI imesema imejipanga kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya mitandao kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Hayo yasemwa jijini hapa leo,Mei 29,2025  na Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Maryprisca Mahundi, wakati wa kikao cha maandalizi kuelekea ufunguzi wa mkutano wa Jukwaa la Afrika kuhusu masuala ya utawala […]