WAZIRI WA MAZINGIRA WA NORWAY ATETA NA WAZIRI MASAUNI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mha. Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andreas Bjelland Eriksen – Waziri wa Hali ya Hewa na Mazingira wa Norway. Mazungumzo hayo yalilenga ushiriki wa Tanzania katika COP30 na majadiliano kuhusu taka za Plastiki, yalifanyika katika Ofisi za Wizara hiyo […]