
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA
Bodi ya Nishati Vijijini (REB) imeendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya umeme vijijini katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Ikiwa wilayani Chato mkoani Geita, Bodi hiyo leo Mei 6, 2025 imetembelea kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.

