

Na MOHAMED AKIDA
KLABU ya Yanga inaarifiwa kukamilisha mpango wa kumsajili kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ili kui tumikia timu hiyo msimu ujao.
Akizungumza na Mfanyakazi Tanzania, Menja Habari wa timu hiyo, Ally Kamwe amesema kuwa kuna wachezaji wengi wamepanga kuwasajili kenyeirisha kubwa lengo ni kuboresha jeshi lao la msimu ujao.
“Feisal ni mchezaji mzuri hakuna klabu ambayo inaweza kumkataa nikweli sisi tunahitaji huduma yake lakini ni mhzaji wa Azam tunahofanya kuzungumza na uongozi wa timu yake kama tukikubaliana ndio anaweza kuwa mali yetu tena,” amesema Kamwe.
Meneja huyo ameeleza kuwa wanamuhitaji Fei Toto ili kuziba Pengo la Stehen Aziz Ki ambaye wamemuuza Waydad C asablanca ya Morroco.
Mbali na Fei Toto, Kamwe amesema mchakato wa kukamilisha sajili za wachezaji wengine unakwenda vizuri na lengo lao ni kuhakikisha wanamaliza mapema zoezi hilo ili timu inngie mapema kambinikwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya
https://www.instagram.com/p/DKMMfQoMhLJ/?igsh=MW53YzBlb3R3bjhhYQ==