Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 88)
FEATURE
on Aug 22, 2024
232 views 3 mins

NA Mwandishi Wetu WAMACHINGA Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeungana na wananchi wa kizimkazi Zanzibar kwenye siku ya utalii kusherehekea ufahari wa utamaduni wa Kitanzania, vivutio vya utalii, umoja na mshikamano katika tamasha la Kizimkazi linaloendelea kufanyika visiwani Zanzibar. Benki imeendelea kusisitiza dhamira yake ya kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika vipaumbele vyake katika […]

FEATURE
on Aug 22, 2024
282 views 4 mins

Na Pendo Magambo – WMA* Wafanyakazi wa Wakala wa Vipimo (WMA) Kitengo cha Bandari, wamesema wataendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi ili kufikia azma ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuwa na Tanzania ya Viwanda. Akizungumza kwa niaba ya wafanyakazi, Meneja anayeongoza Kitengo hicho, Alfred Shungu ameyasema hayo ofisini kwake alipokuwa akizungumza na wanahabari, […]

FEATURE
on Aug 22, 2024
245 views 23 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Agosti 22, 2024 amekutana na timu ya wataalam kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Ofisini kwake Ilala Boma. RC Chalamila pamoja na mambo mengine alipata wasaa wa kufanya mazungumzo na timu hiyo ikiongozwa na Kamishna wa Bima  Dkt […]

FEATURE
on Aug 22, 2024
281 views 52 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamati ya Taifa ya maandalizi ya fainali za ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2027 imekutana leo Agosti 22, 2024 Jijini Dar Es Salaam kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kupitia na kuridhia mapendekezo ya uundwaji wa kamati ndogo pamoja na Sekretarieti ya Kamati hiyo. Kamati hiyo inayoongozwa na Mhandisi Leodgar Chila […]

FEATURE
on Aug 22, 2024
286 views 49 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Timotheo Mnzava (Mb) leo Agosti 22,2024 Bungeni jijini Dodoma, imepokea taarifa mbalimbali za utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Maliasili na Utalii ikiwemo taarifa ya Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa 50 wa Shirikisho la Wafugaji Nyuki Duniani […]

FEATURE
on Aug 22, 2024
142 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGtA Kondoa, Dodoma Imeelezwa kuwa kujengwa kwa daraja la mto Hurui lenye urefu wa mita 30 lililopo katika kijiji cha Hurui kata ya Kikore wilayani Kondoa mkoani Dodoma limekuwa msaada mkubwa kwa wananchi waliokuwa wanapata adha ya muda mrefu ya usafiri kutokana na kukosekana kwa daraja baada ya daraja la awali kusombwa […]

FEATURE
on Aug 22, 2024
197 views 2 mins

Na. Beatus Maganja Mtangazaji nguli, na mwandishi wa habari mashuhuri Africa Mashariki na Kati aliyekuwa akitangaza kipindi cha Dira ya Dunia katika Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) ambaye kwasasa anafanya kazi  na Redio/TV ya Crown  FM/TV iliyopo nchini, Salim Kikeke amesema uwepo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini – TAWA katika Tamasha la […]

FEATURE
on Aug 21, 2024
255 views 3 mins

Na Mahamudu Jamal – WMA Meneja wa Viwango na Uhakiki, Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Magesa Biyani ametoa rai kwa wabunifu wa vipimo pamoja na teknolojia mbalimbali zinazohusiana na uhakiki wa vipimo kuchangamkia fursa kwani sekta hiyo inakua kwa kasi jambo linalokwenda sambamba na uhitaji wa vipimo vya kisasa na teknolojia mpya za uhakiki wake. […]

FEATURE
on Aug 21, 2024
269 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Yatoa huduma moja kwa moja kwa Wananchi kupitia Taasisi zake Nishati safi ya kupikia, yawa ajenda ya kuvutia Zanzibar. Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake leo Agosti 21, 2024 zimeshiriki katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival) yanayoendelea kwenye kijiji cha kizimkazi  wilaya ya Kusini mkoa wa Kusini Kisiwani Zanzibar. Katika […]

FEATURE
on Aug 21, 2024
264 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dar es Salaam. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Tanzania iko tayari kuvutia Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kupitia Mkutano wa 5 wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini, unaotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 19 hadi 21 Novemba, 2024. Amebainisha hayo leo Agosti 21, 2024, katika […]