Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 89)
FEATURE
on Aug 21, 2024
373 views 51 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 21 Agosti 2024 atafungua Kongamano la tisa (9) la Wahandisi Wanawake nchini linalofanyika Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam (JNICC). Kongamano hilo linafanyika siku mbili kwa kuwakutanisha wanataaluma, wahandisi wanawake pamoja na wanafunzi wanaosoma masomo ya Sayansi […]

FEATURE
on Aug 20, 2024
238 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Awataka REA, Wakandarasi kuwajibika utekelezaji wa miradi Mkataba wa Shilingi bilioni 362 wasainiwa Vitongoji  3,060 kupelekewa umeme Wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali ya Kimkakati ya Nishati hususan miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu na kukamilisha kwa wakati na REA kuwasimamia wakandarasi kwa kutenda  haki. Hayo yamebaibishwa […]

FEATURE
on Aug 20, 2024
363 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu kwenye maeneo yote yenye huduma za usafiri wa Vivuko na kupanga mikakati ya kudumu ya kujenga madaraja katika baadhi ya maeneo ili kupunguza changamoto zinazokabili uendeshaji wa huduma hizo. Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. […]

FEATURE
on Aug 20, 2024
458 views 2 mins

Serikali Yaokoa dola milioni 600 Chini ya Uongozi wa Rais Samia miezi minne ya kazi DP World Bandarini. Uwekezaji bandarini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, umeanza kuonyesha matunda makubwa baada ya serikali ya Tanzania kuokoa kiasi cha dola milioni 600 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na DP World. Kupungua […]

FEATURE
on Aug 16, 2024
213 views 4 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kutokana na mazingira mazuri ya kibiashara ambayo yamewekwa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imepelekea Kampuni ya Luminous Power Technologies kuingia makubaliano na Kampuni ya Swaminath Trading ili waweze kuuza bidhaa zenye ubora wa kimataifa zinazotumia umeme wa jua. […]

FEATURE
on Aug 11, 2024
210 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa kazi kubwa anayoifanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiyo namna sahihi ya kumuenzi Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli. Balozi Nchimbi amezitaja mojawapo ya kazi hizo […]

FEATURE
on Aug 11, 2024
200 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Asema viongozi mabingwa wa upinzani, walio waadilifu wataendelea kurejea CCM mmoja baada ya mwingine_ _Ziara yake yamng’oa Katibu wa Chadema Kagera na mamia wengine*_ Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema chama hicho kitaendelea kuwa sauti ya wasio na sauti. Balozi Nchimbi amesema kuwa viongozi […]

FEATURE
on Aug 10, 2024
234 views 4 mins

Na Veronica Simba – WMA Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi kutoka Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Albogast Kajungu, amefanya ziara ya kushtukiza katika mashamba ya wakulima mbalimbali eneo la Mang’ola wilayani Karatu, Mkoa wa Arusha na kuridhishwa na namna wakulima hao wanavyozingatia matumizi ya vipimo sahihi. Akiongoza Timu ya Wataalamu wa WMA katika zoezi […]

FEATURE
on Aug 9, 2024
190 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Mwanza na Shinyanga utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 21 hadi 27 Agosti, 2024 ambapo jumla ya wapiga kura wapya 400,082 wanatarajiwa kuandikishwa. Hayo yamesemwa leo tarehe 09 Agosti, 2024 kwa nyakati tofauti kwenye mikutano ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi […]

FEATURE
on Aug 8, 2024
174 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amemwagiza Waziri wa Mambo ya Ndani,  Hamad Masauni au naibu wake  kuungana nae kwenye ziara mkoani Kagera kwa ajili ya kutoa ufafanuzi malalamiko ya wananchi kuhusu upatikanaji wa vitambulisho vya uraia, maarufu kama NIDA. Balozi Nchimbi ambaye yuko katika […]