KIMATAIFA
May 06, 2025
7 views 38 secs 0

TRAORE ABORESHA USAFIRI WA MIJINI KATIKA NCHI YAKE YA BUKNAFASO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Msururu wa mabasi mapya 115 umefika nchini Burkina Faso, ukiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Ibrahim Traorรฉ ili kuboresha usafiri wa mijini kote nchini humo. Mpango huu ni sehemu ya juhudi kubwa za kuweka usafiri wa umma chini ya usimamizi wa serikali โ€” kwa lengo la kupunguza gharama za usafiri, […]