TCCIA NA CHEMBA YA KIMATAIFA YA DUBAI KUSHIRIKIANA KATIKA BIASHARA NA UWEKEZAJI
Waziri wa Viwanda na Biashara Mh.Suleiman Jafo amewaomba wawekezaji kutoka nchi za falme za kiarabu kuja kuwekeza Nchini Tanzania katika sekta mbalimbali ikiwemo Biashara. Jafo ametoa rai hiyo leo Desemba 12,2024 wakati wa utiliaji saini hati ya Makubaliano ya Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Nchi za kiarabu kupitia Chemba ya Biashara ,Viwanda na […]