KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYA YA TEMEKE
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Kamati imeridhishwa na utekelezaji wa miradi hiyo na kutoa Shukrani kwa Rais Dkt Samia kwa kuwezesha utekelezaji wa miradi hiyo.ย Kamti ya Siasa ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam leo Mei 7, 2025 ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo Mhe Abbas Mtemvu imetembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo […]