Taarifa ya Pole kwa Tasnia ya Habari na Wanafamilia wa Charles Hilary
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya msiba wa father, rafiki na nguli wa habari, Charles Hilary, aliyefariki dunia alfajiri ya Mei 11, 2025. Charles alikuwa zaidi ya mwandisha, alikuwa mwalimu, kiongozi, na msukumo kwa wengi waliotangamana naye katika uandishi wa habari. Kuanzia kazi yake akiwa Radio One, BBC, Azam Media Limited […]