MAJALIWA AHANI MSIBA WA MHE. CLEOPA DAVID MSUYA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Mei 8, 2025 amehani msiba wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Cleopa David Msuya, Upanga Jijini Dar es Salaam. Akizungumza na wanafamilia pamoja na waombolezaji wengine, Mheshimiwa Majaliwa, amewasihi kuendelea kumuombea Mhe. Msuya na wawe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu. […]