MICHEZO
May 09, 2025
14 views 30 secs 0

DKT. ABBASI AKAGUA UJENZI UWANJA WA GOFU SERENGETI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi leo Mei 8, 2025, amekagua maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa kisasa wa gofu chini ya Tanapa. Uwanja huo utakaokamilika mwaka huu na kuruhusu viwanja vingine vya michezo kadhaa navyo kuendelezwa, unajengwa nje kidogo ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti […]