KITAIFA
May 06, 2025
22 views 2 mins 0

NAIBU WAZIRI ATINGA TARAFA YA KATERERO KUKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI WA KEMONDO- MARUKU UNAOGHARIMU BILIONI 15.8.

_Utanufaisha Kata 7, Kata mbili za Kemondo na Bujugo zimeanza kupata maji, Rais Samia apania kumtua Mama ndoo kichwani._ Naibu Waziri wa Maji Eng. Kundo Mathew amefika kwenye Tarafa ya Katerero iliyopo Bukoba mkoani Kagera kukagua mradi mkubwa wa Maji wa Kemondo- Maruku unaogharimu Bilioni 15.8 ukiwa kwenye Kata ya Kemondo huku chanzo chake cha […]