WAZIRI CHANA AZINDUA MRADI WA DOLA MILIONI 5.8 KUHIFADHI MISITU YA ASILIA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb), amezinduaย mradi wa ‘Kuimarisha Ustahimilivu wa Bioanuai ya Misitu ya Mazingira Asilia Tanzania dhidi ya Athari za Mabadiliko ya Tabianchi’, wenye thamani ya Dola za Kimarekani 5.8 milioni. Mradi huo umefadhiliwa na Mfuko wa Mazingira Duniani (GEF) kwa kushirikiana na […]