THE ROYAL TOUR YAZIDI KUIFUNGUA SEKTA YA UTALII.
Na Mwandishi wetu Filamu ya The Royal Tour imezidi kuleta matokeo chanya katika sekta ya Utalii kutokana na mwamko mkubwa kwa wawekezaji hususan wa Hotel za kitalii kuendelea kuwekeza kwenye maeneo mbalimbaliย hasa kwenye Hifadhi za Taifa ili kwendana na kasi kubwa yaย wataliiย wanaoingia nchini. Akizungumza baada ya kutembeleaย Hoteli ya Serengeti Explore by […]