TASAC WASAINI MKATABA NA KAMPUNI YA KITURUKI KWA LENGO LA KUNUNUA BOTI MBILI ZA UTAFUTAJI NA UOKOAJI
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), leo, Aprili 3, 2025, limesaini mkataba na na kampuni ya Kituruki, M/s Mercan Tekne Deniz Araclari Ltd (Mercan Yachting), kwa lengo la kununua boti mbili (2) za utafutaji na uokoaji (Search and Rescue – SAR) ili kuboresha usalama wa usafiri majini katika mwambao wa bahari na maziwa makuu […]