AKILI MNEMBA (AI) INASAIDIA KUBORESHA UFUNDISHAJI ILI KUBORESHA SEKTA YA ELIMU
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imesaini mkataba wa mashirikiano wa miaka mitatu na Shirika lilsilo kiserikali la EdTech katika eneo la akili mnembe (AI) utaosaidia ujifunzaji na ufundishaji ili kuboresha Sekta ya Elimu nchini. Mkataba huo umesainiwa baina ya Mkurugenzi Mkuu wa TET Dkt. Aneth Komba na Mkurugenzi wa EdTech Bw. Essa Mohamedali leo Mei […]