BIASHARA
May 13, 2025
13 views 53 secs 0

THRAPA KUFANYA MKUTANO WA NNE VISIWANI ZANZIBAR RAIS MWINYI KUWA MGENI RASMI

CHAMA cha Wataalam wa Rasilimali watu na Utawala Tanzania(THRAPA) kinawakaribisha wataalamu wote wa rasilimali watu,wadau na utawala katika mkutano wa nne wa kitaaluma utakaofanyika Visiwani Zanzibar kuanzia Mei 20 Hadi 22,2025 ambapo mgeni rasmi ni Rais za Zanzibar na Mwenyekiti 2a Baraza la Mapinduzi Zanzibar,Dkt.Hussein Ali Mwinyi  ‎‎Akizungumza na waandishi wa habari Leo Mei 13,2025 […]